Swali: Je, sauti ya mwanamke ni ´Awrah? Hili pamoja na kuwa sauti yake inatofautiana kutegemea na kile anachokitaka.
Jibu: Sauti ya mwanamke sio ´Awrah. Lakini mwanamke amekatazwa asiilegeze sauti yake asije kutamani yule ambaye ndani ya moyo wake mna maradhi. Hii ina maana ya kwamba asiongee maneno laini. Hili linahusu sawa iwe katika maneno yake, katika kule kuyatamka kwake na mfano wa haya. Haya ni haramu. Kuhusu kuongea maneno ya kawaida sio haramu na wala sio ´Awrah.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (11)
- Imechapishwa: 03/05/2020
Swali: Je, sauti ya mwanamke ni ´Awrah? Hili pamoja na kuwa sauti yake inatofautiana kutegemea na kile anachokitaka.
Jibu: Sauti ya mwanamke sio ´Awrah. Lakini mwanamke amekatazwa asiilegeze sauti yake asije kutamani yule ambaye ndani ya moyo wake mna maradhi. Hii ina maana ya kwamba asiongee maneno laini. Hili linahusu sawa iwe katika maneno yake, katika kule kuyatamka kwake na mfano wa haya. Haya ni haramu. Kuhusu kuongea maneno ya kawaida sio haramu na wala sio ´Awrah.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (11)
Imechapishwa: 03/05/2020
https://firqatunnajia.com/sauti-ya-mwanamke-sio-awrah-%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)